Face Acne Blackhead & Cleanser Device
Face Acne Blackhead & Cleanser Device Original price was: Sh 56,000.Current price is: Sh 35,000.
Back to products
C22 Military Smartwatch
C22 Military Smartwatch Original price was: Sh 289,800.Current price is: Sh 154,980.

Knees Support Brace + Dawa

Original price was: Sh 46,200.Current price is: Sh 30,016.

Maliza Tatizo La Miguu Au Goti Kuuma Leo! Jipatie Knee Sleeve Original Iliyothibitishwa Kiafya! ✨

🎯 Pc moja (1) = 30,000 | Pamoja na Dawa = 40,000
🎯 Pcs mbili (2) = 50,000 | Pamoja na Dawa = 60,000

Jaza fomu kwa usahihi, na tutawasiliana nawe kuthibitisha.

Ujumbe Muhimu Kuhusu Delivery: Mikoa tunayotoa huduma ya kulipia baada ya kupokea ni Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Tanga, Moshi, Babati, Mara, Dodoma, Mbeya na Iringa. Kwa wateja wa mikoa mingine, utahitajika kulipia gharama za usafiri kwanza.

199 People watching this product now!
Description

Knee Support pamoja na Knee Relief Patch ni suluhisho kamili kwa watu wanaosumbuliwa na maumivu ya magoti, uvimbe, au upungufu wa uteute kwenye viungo. Vikitumika pamoja, vinasaidia kupunguza maumivu, kuimarisha goti na kurudisha urahisi wa kutembea.

Faida Za Knee Support Brace (Sapoti Ya Goti)

  • Inasaidia kulinda na kushikilia goti wakati wa kutembea au kufanya shughuli.
  • Hupunguza shinikizo na maumivu ya ghafla.
  • Hufaa kwa wenye magoti dhaifu, waliowahi kuumia au waliopata upasuaji.
  • Inaboresha mzunguko wa damu na kusaidia uponyaji wa haraka.

Baada Ya Upasuaji Knee Support na dawa zetu maalum husaidia kuongeza uimara, kusapoti goti na kupunguza maumivu.

Faida Za Knee Relief Patch (Dawa Ya Maumivu)

  • Kila pakiti ina vipande 5 vya patch.
  • Hutoa joto la asili linalosaidia kupunguza maumivu na uvimbe.
  • Ina viambato vya mimea vinavyopenya moja kwa moja kwenye kiungo kilichoathirika.
  • Rahisi kutumia: bandika moja kwa moja juu ya goti linalouma.
  • Hutoa nafuu haraka kwa muda wa masaa kadhaa.

Reviews (0)

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Knees Support Brace + Dawa”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shipping & Delivery

MAECENAS IACULIS

Vestibulum curae torquent diam diam commodo parturient penatibus nunc dui adipiscing convallis bulum parturient suspendisse parturient a.Parturient in parturient scelerisque nibh lectus quam a natoque adipiscing a vestibulum hendrerit et pharetra fames nunc natoque dui.

ADIPISCING CONVALLIS BULUM

  • Vestibulum penatibus nunc dui adipiscing convallis bulum parturient suspendisse.
  • Abitur parturient praesent lectus quam a natoque adipiscing a vestibulum hendre.
  • Diam parturient dictumst parturient scelerisque nibh lectus.

Scelerisque adipiscing bibendum sem vestibulum et in a a a purus lectus faucibus lobortis tincidunt purus lectus nisl class eros.Condimentum a et ullamcorper dictumst mus et tristique elementum nam inceptos hac parturient scelerisque vestibulum amet elit ut volutpat.